4x4

WAFANYAKAZI CRDB TAWI LA MBARALI MKOA WA MBEYA WALIVYOWAFIKIA WATEJA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Wafanyakazi  wa benk ya CRDB tawi la Mbarali  mkoani Mbeya  wakiwa katika maadhimisho ya  wiki ya  huduma kwa  wateja mjini Mbarali
Wafanyakazi  na   CRDB tawi la Mbarali  mkoa wa Mbeya  wakiwa katika  picha ya pamoja ndani ya benk  hiyo  kama  sehemu ya kuanza  kuwatembelea  wateja wao

wafanyakazi  wa CRDB Mbarali  wakiwa  mtaani  kutoa elimu kwa  wananchi  wa  Rujewa 
wafanyakazi wa CRDB Mbarali  wakiwa mnadani  Ihanga kutoa  elimu kwa  jamii ya  wafugaji wa kimasai 
Meneja  wa CRDB  tawi la  Mbarali  mkoani  Mbeya  Bw  Chibby Chibby  katikati  akiwa katika  picha ya  pamoja na  wafanyakazi wa  tawi la Mbarali  wakati wa maadhimisho ya  wiki ya huduma kwa  wateja 
Wafanyakazi wa CRDB tawi la Mbarali  mkoa  wa Mbeya wakiwa katika ubora  wao  na meneja  wao Bw  Chibby Chibby wakati wa maadhimisho ya  huduma kwa  wateja
Meneja  wa CRDB tawi la Mbarali Bw  Chibby  Chibby  akiwa na  baadhi ya  wafanyakazi wake
Wafanyakazi wa CRDB tawi la  Mbarali  wakiwa katika  picha ya pamoja na meneja  wao Bw  Chibby Chibby wakati wa  maadhimisho ya  wiki ya huduma kwa  wateja
Meneja  wa CRDB  tawi la  Mbarali  mkoani  Mbeya  Bw  Chibby Chibby  katikati waliokaa akiwa katika  picha ya  pamoja na  wafanyakazi wa  tawi la Mbarali  wakati wa maadhimisho ya  wiki ya huduma kwa  wateja (picha na MatukiodaimaBlog)
Post a Comment