4x4

YALIYOJIRI MAGAZETINI LEO October 27, 2016.

SIMU.tv: Mradi wa nyumba za polisi Oysterbay taabani, Wachina mbaroni Dar kwa utekaji, Mradi wa NSSF kigamboni waibua madudu. Pata undani wa dondoo hizi za magazeti ya leo hapa; https://youtu.be/F2p4Dh80LDg

SIMU.tv: JPM akata mirija 10, JPM: Fedha zitakauka zaidi mifukoni, Rwakatare kuwalipia wafungwa 43, Nyuma ya pazia uhakiki wa vyeti serikalini. Pata dondoo hizi hapa; https://youtu.be/PQSeEfD7RKA

SIMU.tv: Wazee CCM waibua maswali, Mchujo mpya bodi ya mikopo, NSSF hatarini kulizwa Bil. 270, Bomoa bomoa yawaliza wakazi Kibamba. Pata undani wa dondoo hizi hapa; https://youtu.be/zi1yIW-nqTo

 Regards,
Felister Joseph.

Post a Comment