4x4

YOWERI MUSEVENI NA MKEWE JANETH TANZANIA 1977

Yoweri Na Janet 1977..
..Na watoto wao Natasha na Muhoozi. Wawili hao walizaliwa Tanzania. Yoweri Museveni anasimulia vizuri juu ya wakati huo ikiwamo maisha magumu walipoishi pale Kurasini na kufikia hata kushindwa kulipa bili ya umeme, na Tanesco waliwakatia umeme. Ni kwenye kitabu chake; Sowing The Mustard Seed.
Maggid.


Post a Comment