4x4

HATIMAYE LWANDAMINA ATUA MAKAO MAKUU YA YANGA PALE JANGWANI


Kocha George Lwandamina, leo ametua rasmi na kukanyaga makao makuu ya Yanga.

Taswira mbili zinamuonyesha Lwandamina akiwa makao makuu ya klabu hiyo ambako alifika leo mchana.
24Nov2016
Post a Comment