- Hillary Clinton alizaliwa na kukulia katika eneo la Chicago; Donald Trump alikulia Queens, New York
- Alikuwa katika kilabu cha kikundi cha mdahalo katika shule ya sekondari ya manispaa huku Trump akisoma katika shule ya wanajeshi (military academy ) mjini New York, ambako alianza kuwa kuwa becoming captain katika shule hiyo
- Mnamo mwaka 1995, Clinton akitoa hotuba kuhusu haki za wanawake kama mke wa rais mjini Beijing . Katika mwaka huo huo, Trump alikuwa katika ofisi ya soko la hisa la New York linalofahamika kama Trump Plaza Casino lililofahamika
- Clinton akigombea kwa mara ya kwanza mwaka 2008 - lakini alishindwa na Barack Obama katika uchaguzi wa awali wa Democratic : Donald Trump akiongoza kupindi cha televisheni - The Apprentice alichokiendesha kwa zaidi ya miaka 10
- Mnamo mwaka 2011, Waziri wa Mashauri ya Kigeni akisoma ujumbe katika ndege alipokuwa akielekea Libya, picha iliyopata umaarufu , Trump akisikiliza watu mashuhuri wakimkejeli katika tukio la kukusanya misaada ya kijamii
- Wakati wa majira ya joto 2016: Clinton na Trumpwakikubali uteuzi wa vyama vyao kuwa rais.
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments