MATUKIO BUNGENI DODOMA

 Spika wa zamani wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya wabunge wa Bunge la Tanzania, alipotembelea Bunge hilo jana.
 Waziri Mkuu wa zamani, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema,, Frederick Lowassa akiingia kwenye gari tayari kuondoka baada ya kutembelea Bunge, Dodoma jana kwa mwaliko wa Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.
 Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Mazingira), Luhaga Mpina akizungumza na Mbunge wa Mtera, Livingston Lusinde kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma jana.
 Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma jana.
 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Lwakatare akiiomba serikali kuongeza kasi ya kuwasaidia walioathirika kwa tetemeko mkoani Kagera.
 Wabunge wa Upinzani wakijadiliana jambo bungeni Dodoma

 Mbunge wa Jimbo la Ileje, Janeth Mbena akichangia hoja bungeni Dodoma jana.
 Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akichangia Mpango wa Maendeleo uliowasilishwa bungeni

 Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe akichangia hoja Mpango wa Maendeleo bungenmi Dodoma jana

 Wabunge wa Upinzani wakisikiliza hoja mbalimbali Dodoma . Katikati ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chadema, Sophia Mwakagenda.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Mbunge wa Jimbo la Solwa, Ahmed Salum akichangia hoja bungeni
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MAMEYA WA TEMEKE, UBUNGO WATWANGANA UCHAGUZI WA NAIBU MEYA DAR

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA