4x4

PROFESA MWANDOSYA ALIPOKUTANA NA ASKOFU TUU AFRIKA KUSINI 1992

 Nikimkabidhi Mwadhama Baba Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana Afrika ya Kusini, Baba Askofu Desmond Tutu, zawadi ya kutoka Tanzania. Hii ilikuwa mwaka 1992 nilipomtembelea Makazi ya Askofu Mkuu, CapeTown, Afrika ya Kusini nilipofanya ziara siku chache tu baada ya Mzee Nelson Mandela kitoka gerezani. Nikiwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini, katika ziara hiyo niliongozana na Mama Lucy Mwandosya, na Patrick Rutabanzibwa wakati ule akiwa Afisa Mwandamizi wa sekta ya Nishati.

Post a Comment