4x4

TAASISI YA TUELEKEZANE PEPONI YA OMAN YAKABIDHI MSAADA WA VISIMA JIMBO LA CHALINZE

 Mbunge jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa kijiji cha Matipwili ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima hicho kilicho kimoja kati ya vitatu vilivyochimbwa na taasiai ya Tuelekezane Peponi kutoka nchini Oman kwa vilovyogharimu zaidi ya sh. Mil. 48.5, uzinduzi huo umefanyika juzi kijijini hapo. (PICHA NA OMARY SAID).
 Mbunge jimbo la Chalinze Mkoa wa Pwani Ridhiwani Kikwete akikata utepe katika mradi wa kisima cha maji kilichochimbwa katika kijiji cha Matipwili, Kata ya Mkange mkoani hapa, mwenye kanzu ni Nasri Jahdamy mwakiloahi kutoka taasisi yaTuelekezane Peoni ya nchini Oman na viongozi mbalimbali, uzinduzi huo umefanyika juzi kijijini hapo. (PICHA NA OMARY SAID).

Picha ya kwanza Mwakilishi wa Taasisi ya Tuelekezane Peponi Nasri Jahdamy aliyejifunga Kiremba akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoa wa Pwani Ridhiwani Kikwete, hapa akiwa eneo shule ya Sekondari ya Matipwili palipochimbwa kisima cha pili  bado kumaliziwa miundombinu ya kuchote, vingine vimechimbwa kijijini Matipwli ambacho kimezinduliwa juzi, kingine kijiji cha Gongo nacho bado miundombinu ya kuchotea vyote vikigharimu sh. Mil. 48.5, mwenye flana nyeusi ni Hamisi Tembo mmoja wa maofisa wa taasisi hiyo hapa nchini, uzinduzi huo umefanyika juzi kijijini hapo . (PICHA NA OMARY SAID).
Post a Comment