4x4

VIDEO: Man City yaiadhibu Burnley huku Aguero akiandika rekodi mpya

Michezo ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 inaendelea kama kawaida kwa leo November 26 kwa michezo kadhaa kuchezwa, mechi kati ya Burnley dhidi ya Man Cityilikuwa ni miongoni mwa michezo iliyochezwa leo.
3ac470d300000578-3973820-image-a-104_1480168946992
Man City walikuwa ugenini katika dimba la Burnley kucheza mchezo wao huo wa 13 wa Ligi Kuu England, katika mchezo huo Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, magoli ya Man City yakifungwa na Sergio Kun Aguero dakika ya 37 na 60 wakati goli la Burnley lilifungwa na Dean Marney dakika ya 14.Msimamo wa EPL baada ya mchezo wa Burnley vs Man City kumalizika.
Post a Comment