4x4

Alikiba azoa tuzo tatu za EATV AWARDS 2016


                                 Alikiba kazoa tuzo tatu
                                      Gabo kabeba tuzo mbili
Tuzo za EATV Awards za mwaka 2016. EATV Awards zimezaliwa na kufanyika Tanzania, tarehe 10 disemba, 2016 kwa mara ya kwanza. EATV Awards zipo kwa ajili yakuonesha thamani ya wanamuziki kwa kazi wanazozifanya na kukuza tasnia ya muziki

Msanii chipukizi
   - Man Fongo

Kundi bora la mwaka
   - Navy Kenzo

Mwigizaji bora wa kike
   - Chuchu Hans

Muigizaji bora wakiume
   - Salim Issa (GABO)

Video Bora ya mwaka
   - Alikiba - Aje

Wimbo bora wa mwaka
   -  Alikiba - Aje

Filamu bora ya mwaka
   - Safari ya Gwalu (GABO)

Tuzo ya heshima
   -  Bonny Love

Msanii bora wa kike
   - Lady Jaydee

Mwanamuziki bora wakiume
   - Alikiba 

                                            EATV AWARDS 2016
Post a Comment