4x4

KUMEKUCHA- PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA WAZIRI MKUU

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akioneshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori (Acting  Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam leo.(PICHA NA OWM)
 Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori  (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande (kulia) na Mkuu wa Hifadhi ya Ikorongo Gurunetya Serengeti, Nollosco Ngowe wakiwa wamebeba sanduku lenye pembe za faru John baada ya kumwonyesha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment