4x4

Kutana na Zainab Abdallah, mkuu wa Wilaya mdogo kuliko wote Tanzania (+ video)


Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab Abdallah ndio mkuu wa wilaya mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania, pamoja na hayo unaweza kutamani kujua inakuaje kwenye uongozi wake na anafanyaje kazi, kutana nae kwenye hii video hapa chini…

VIDEO: Tazama hapa chini Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na milionea 
Post a Comment