4x4

KWAHERI MPIGANAJI WETU MPOKI BUKUKU

 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mpigapicha wa  The Guardian, marehemu Mpoki Bukuku  likishushwa kaburini wakati wa maziko yaliyofanyika eneo la makaburi ya familia yao Msalato, Dodoma

Mama mkwe wa marehemu Mpoki akiweka shada la maua kwenye kaburi
Mama mzazi wa marehemu Mpoki  akiweka udongo katika kaburi
Mama mzazi wa marehemu Mpoki  akiweka shada la maua katika kaburi
Rafiki mkubwa wa marehemu Mpoki, Michael Matemanga akiweka shada la maua
Mama mkwe akiweka shada la maua la marehemu Mpoki
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Antony Mavunde wakiweka shada la maua kwenye kaburi la rafiki yao, marehemu Mpoki

Watoto wa marehemu Mpoki, wakiweka shada la maua
Watoto wa marehemu Mpoki, wakiweka shada la maua
Post a Comment