Magari ya kifahari yaliyoendeshwa na mastaa wa Tanzania 2016


on
Kupitia XXL ya Clouds FM iliyoruka December 29, 2016 imetajwa list ya magari yanayomilikiwa na yaliyowahi kumilikiwa na watu maarufu wakiwemo mastaa wa muziki, watangazaji na wacheza filamu. Kwa mujibu wa B Dozen amesema kigezo kilichotumika kuipanga list hii pamoja na mastaa hao kuthibitisha kumiliki magari hayo pamoja na kukutwa wakiyaendesha magari hayo mwaka 2016.
Hapa ni picha 10 za magari hayo.
1. Masoud Kipanya (MTANGAZAJI WA RADIO) – Hummer H3 

2. Diamond Platnumz (MSANII BONGOFLAVA) & Masanja Mkandamizaji (COMEDIAN) – BMW X6 
BMW X6 TYCOON
3. Quick Rocka (MSANII BONGOFLAVA) – Range Rover Spot

4. Wema Sepetu (MREMBO/MCHEZA FILAMU) – Range Rover E Vogue

5. Gadner G Habash (MTANGAZAJI WA RADIO) & Shetta (MSANII BONGOFLAVA) – Discovery 3

6. Alikiba (MSANII BONGOFLAVA) – BMW X5

7. Madee (MSANII BONGOFLAVA)-  Toyota Prado

8. Nay wa Mitego (MSANII BONGO FLAVA) – Toyota Prad0

9. Idriss Sultan (COMEDIAN/MTANGAZAJI WA RADIO)- BMW M3, Altezza & Harrier

10. Professa Jay (MBUNGE/MSANII HIP HOP) – Land Cruiser V8
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA