MAHAFALI YA 14 CHUO KIKUU TUNGUU, ZANZIBAR YAFANYIKA

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya 14 yaliyofanyika leo Desemba 7, 2016, Tunguu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mhitimu Zuwena Salim Mohamed akiwa ni miongoni mwa Wahitimu waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao katika sherehe ya Mahfali ya kumi na nne (14) ya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) kilichopo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mhitimu Samiya Sulaiman Seif, miongoni mwa Wahitimu waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao katika sherehe ya Mahfali ya kumi na nne (14) ya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) kilichopo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikatI) na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja

Walimu wa Chuo Kikuu cha Tunguu (zanzibar University) wakiwa katika gwaride maalum wakati wa Sherehe za   Mahfali ya kumi na nne (14) yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA