MAJALIWA AENDA KUISALIMIA FAMILIA YA MAREHEMU SITTA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Margart Sitta, mjane wa Spika mstaafu,  Sumuel Sitta wakati alipoitembelea familia ya marehemu jijini Dar es salaam Desemba 19, 2016. Kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto  kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya aliyekuwa Spika Mstaafu, Samuel Sitta wakati walipoitembelea familia hiyo, nyumbani kwa marehemu jijini Dar es salaam Desemba 19, 2016. Kulia kwake ni mjane wa marehemu, Margareth Sitta. Wengine pichani kutoka kushoto ni watoto wa marehemu, Benjamin Sitta, John Sitta na Sam Junior. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary wakisalimiana na mama Margaret Sitta, mjane wa alieyekuwa Spika mstaafu, Samuel Sitta wakati walipoitembelea familia ya Spika huyo jijini Dar es salaam Desemba 19, 2016. Wengine pichani ni watoto wa marehemu, kutoka kushoto ni  Benjamin Sitta, Sam Junior na John Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.