MCT yaandaa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu kudhalilshwa kwa waandishi WAANDISHI wa habari kutoka mikoa kadhaa ya Tanzania, wakifuatilia jinsi ya ujazaji wa fomu ya kielektronik endapo mwandishi wa habari, atafanyiwa udhalilishaji wa aina yoyote au kukoseshwa habari, mafunzo hayo yameandaliwa na MCT na kufanyika Mkoani Dodoma, (Picha na Haji Nassor).
 
 MWANDISHI wa habari na mpiga picha wa Azam TV, Juma Kapipi, akitoa ufafanuzi wa matukio yaliomfika wakati akiwa kazini, kwenye mkutano wa kujaza fomu ya  kielektronik ya udhalilishwaji, ulioandaliwa na MCT na kufanyika Dodoma, (Picha na Haji Nassor).
AFISA Mwandamizi MCT ofisi ya Zanzibar Shifaa Said akifungua mafunzo ya siku moja, ya ujazaji wa fomu ya kielektronik, kwa waandishi wa habari iwapo watadhalilishwa au kufanyiwa hujuma yoyote na kukoseshwa habari, mafunzo hayo yameandaliwa na MCT na kufanyika Dodoma hivi karibuni, (Picha na Haji Nassor).  
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA