4x4

MHE. ZUNGU AKIWA AMELAZWA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCIMbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Azzan Musa Zungu akiwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya moyo ambapo kwa sasa hali yake inaendelea vizuri.
Kutoka kulia ni Muuguzi Mwandamizi Sr. Chagui Mgaza na kushoto ni Mwinyi Maulidi ambaye ni dereva wa Mhe. Zungu.
Picha na Anna Nkinda – JKCI
Post a Comment