4x4

MJENGO WA PROF.MWANDOSYA KIJIJINI KWAKE LUFILYO,RUNGWE, MKOANI MBEYA

HAYA NDO MANENO YAKE YA LEO
Ili nisichelewe, nachukuwa nafasi hii kuwatakia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya zilizojaa neema, upendo na amani. Tusherehekee mwisho huu wa mwaka 2016 kwa kukumbuka na kushukuru jinsi Mola alivyotupenda kutupa uhai kuifikia siku ya leo, tukiwakumbukuka wenzetu ambao hatunao, wakiwa wametutangulia mbele ya haki. Kwa wale mtakaokuwa Nyanda za Juu za Kusini, na hakika popote pale, karibuni nyumbani kwetu, kijijini Lufilyo, Busokelo, Wilaya ya Rungwe👇.
Wishing you All a Joyous Chrismas and a Happy and Blessed New Year.
Post a Comment