Sheria itakayowalinda wapangaji wa nyumba inakuja


Leo December 29 2016 Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi wakati akifungua semina juu ya jukumu la vyombo vya habari katika kutoa elimu ya sheria, kanuni na taratibu katika utawala wa ardhi amezungumzia mpango wa kuanzisha sheria itakayodhibiti madalali na wenye nyumba za kupangisha, Waziri Lukuvi amesema….
Leo hii hatushangai mwenye nyumba akiongeza kodi anavyotaka bila kuwa na vigezo na hakuna mtu wa kumdhibiti, haiwezekani, tunafikiri lazima tuwe na sheria ambayo itawalinda wapangaji’;-Waziri Lukuvi
Tunafikiri lazima tuwe na sheria zitakazodhibiti madalali na brokers ili kila mtanzania atakayetaka kufanya kazi hii ajue sifa na miiko yake iwekwe wazi ndani ya sheria’-Waziri Lukuvi


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*