4x4

VURUGU ZAZUKA MBEYA, MADEREVA WA BAJAJI WAFUNGA BARABARA


 Baadhi ya madereva wa Bajajiwakiingizwa kwenye gari la polisi kwa tuhuma za kufunga barabara kwa kuweka mawe eneo la Block T jijini Mbeya  baada kuudhiwa na kitendo cha madereva wenzao  42 kufikishwa mahakamani. (PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG)
 Baadhi ya madeva wa Bajaj jijini Mbeya walofikishwa mahakama ya Wilaya ya Mbeya kwa kuvunja sheria za usalama barabarani ambapo jumla ya madereva 22 wamekamatwa na kufikishwa mahakamani. 

Post a Comment