Preview YouTube video Wafugaji Walalamikia Kukamatwa Kwa Mifugo Yao
Preview YouTube video CCM Yaibuka Kidedea Kata Zote Nne Za Manispaa Ya Ubungo
Preview YouTube video CCM Yaibuka Na Ushindi Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro
Preview YouTube video Nyumba Zabomolewa Kimakosa Meatu
Preview YouTube video Tanzania Na Uturuki Zatiliana Saini Mikataba Tisa Ya Ushirikiano
Preview YouTube video Changamoto Ya Malighafi Kituo Cha Utengenezaji Wa Viungo Bandia
Preview YouTube video Viongozi Wa Mkoa Waagizwa Kutembelea Viwanda Vya Chai
Preview YouTube video Benki Ya Maendeleo Yafungua Tawi La Tatu DSM
Preview YouTube video Mkakati Wa Kukuza Kilimo
Preview YouTube video Ndanda Yailalamikia TFF Kuchelewesha Maamuzi
Preview YouTube video Shindano La Shinda Nyumba Kufanyika Mwezi Wa Pili
Preview YouTube video Yahya Toure Amlalamikia Mwaamuzi
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments