Jengo la Billicanas lililokuwa likilitumiwa na Mbowe laanza kubomolewa


on
Jengo la iliyokuwa klabu Bilicanas na ofisi za Free Media inayomiliki gazeti la Tanzania Daima zinazomilikiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’, Freeman Mbowe limeanza kubomolewa.
Ubomoaji huo ulioanza jana January 6 2016 na unafanyika wakati Mbowe ameingia katika mgogoro na NHC baada ya kampuni ya udalali ya Poster and General Traders kumtolea vyombo nje mwanzoni mwa September, mwaka jana kwa kudaiwa Sh bilioni 1.2 ambayo ni deni la pango. Nimekuwekea picha 11 za jengo hilo lilivyoanza kubomolewa.
0f8a9250 0f8a9252 0f8a9259 0f8a9252
DCIM101MEDIADJI_0003.JPG
DCIM101MEDIADJI_0006.JPG
DCIM101MEDIADJI_0007.JPG
DCIM101MEDIADJI_0012.JPG
DCIM101MEDIADJI_0013.JPG
DCIM101MEDIADJI_0017.JPG
DCIM101MEDIADJI_0019.JPG
VIDEO: NHC walivyotoa mali za Freeman Mbowe nje kisa deni la Bilioni, Bonyeza play hapa chini kutazama
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)