KAIMU JAJI MKUU KUAPISHWA IKULU JIONI HII

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Description: Description: Description: Description: Description: Coat of ArmsKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,
      IKULU,
 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 
TAARIFA KWA UMMA
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu inapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, atamuapisha Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 18 Januari, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Tukio la kuapishwa kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania litafanyika kuanzia saa 10:00 Jioni na litarushwa moja kwa moja na vituo vya Redio na Televisheni vya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), na Tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz
Wananchi wote mnaalikwa kufuatilia matangazo hayo.


Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.