KIJANA WA KITANZANIA DENNIS MHINA ASHIKA NAFASI YA NNE KWA UBORA DUNIANI MASHINDANO YA KUOGELEA CANADA


1
Mchezaji wa timu ya taifa ya taifa ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina akipokea shada la maua kutoka kwa baba yake mzazi mzee Khamis Hussein Mhina wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo arasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
2
Mchezaji wa timu ya taifa ya kuogelea ya vijana Kijana Dennis Khamis Mhina akipokewa na ndugu jamaa na marafiki wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo arasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
3
Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina akitoka nje na mama yake mzazi Bhoke Mukoji Mhina kulia wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo arasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia ya kuogelea yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni.
4
Katibu Mkuu wa Chama Cha Kuogelea nchini, Ramadhan Namkoveka akizungumza wakati walipompokea mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo arasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni, Kulia ni mama mzazi wa kijana Dennis Mhina Bi Bhoke Mukoji Mhina.
5
Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya kuogelea Kijana Dennis Khamis Mhina akizungumza mara baada ya kuwasili nchini kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo arasili akitokea nchini Canada ambako alishinda na kushika nafasi ya nne katika mashindano ya vijana ya dunia yaliyofanyika nchini humo hivi karibuni kulia ni mama mzazi Dennis Mhina Bi. Bhoke Mukoji Mhina, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Kuogelea nchini, Ramadhan Namkoveka na baba yake Khamis Hussein Mhina
6
Mama mzazi Dennis Mhina Bi. Bhoke Mukoji Mhina akizungumza kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kulia ni Kijana Dennis Mhina na kushoto ni Baba yake Bw. Khamis Hussein Mhina.
7
Baba yake Dennis Mhina Bw. Khamis Hussein Mhina akizulngumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kulia ni Bi. Bhoke Mukoji Mhina Mama wa Dennis Mhina aliyesimama katikati.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*