MBUNGE WA CHALINZE APOKEA MSAADA WA MADAWATI KUTOKA JUMUIYA YA SIHNG





Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete wa tatu kutoka kushoto,akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Singh Bwana Kugis wa pili kutoka kulia,pamoja Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo wa kwanza kushoto baada ya kupokea msaada wa madawati kutoka Jumuiya hiyo.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze akipanda mti kuashiria sherehe  ya miaka 350 toka kuzaliwa kwa Guru Sing Sikh.
 Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo akipanda mti huku Mbunge na Diwani wakishuhudia zoezi hilo
 Diwani wa Kata ya Kiwangwa Bwana Malota Hussein akipanda mti kuweka kumbukumbu ya miaka 350 toka kuzaliwa kwa Guru Singh Sikh.

Bwana Makelele, kwa niaba ya wazazi akiwashukuru wahisani hao kwa msaada ya madawati. Aliwashukuru pia kwa kuendelea kusaidia maendeleo ya elimu na huku akiahidi wao wazazi kuunga mkono juhudi hizo

Mwenyekiti wa CCM kata ya kiwangwa akisema neno la kuwashukuru wanajumuiya ya Singh kwa mchango huu ambao yeye amesema kuwa ni juhudi za kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mwenyekiti wa CCM Dr. John Magufuli. Kwa niaba ya Chama aliwashukuru kwa kuunga mkono utekelezaji wa ilani
Mh.Mbunge akipokea Madawati toka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Singh.Aliyesimama katikati ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kiwangwa Ndg. Rashid
Mbunge Ridhiwani Kikwete wa tatu toka kulia katika picha ya pamoja na viongozi wa jumuiya ya Sing . Pembeni ya Mbunge upande wa kushoto ni Bwana Kugis ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo na wa kwanza kulia  ni katibu wa Jumuiya hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.