Ngoma ya Muziki ya Darassa Yaiteka Dar Live


darassa-dar-live-8
Staa wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ‘Darassa’ akifanya makamuzi Mkesha wa Mwaka Mpya katika mpambano wa Nichane Nikuchane Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakheem jijini Dar.
darassa-dar-live-7
darassa-dar-live-9
Darassa akisalimiana na mashabiki wake kabla ya kuanza shoo.
darassa-dar-live-11
…Alianza kwa kuimba Wimbo wa Too Much.
darassa-1
Darassa akifanya makamuzi.
darassa-4darassa-5
Mashabiki wakiomba Darassa arudie ngoma ya Muziki.
darassa-6
Mashabiki wakipagawa na ngoma mpya ya muziki.
darassa-8
Akiendelea na shoo.
darassa-dar-live-8
darassa-dar-live-10
Acha maneno weka muzikiiii… Darassa akiendelea kukamua
darassa-dar-live-12
darassa-dar-live-15
Mkesha wa Mwaka Mpya uli-happen ile mbaya ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live ambao shoo ya kibabe ya Chana Nikuchane ilirindima, R.O.M.A Mkatoliki akioneshana kazi na mkali wa Ngoma ya Muziki, Darassa. Baada ya wasanii wa utangulizi kufanya yao, walipanda wengine kama Msaga Sumu, Pam D na Jahazi Modern Taarab lakiniyote tisa, kumi ni Darassa alipopanda jukwaani.
Unaambiwa alilazimika kuurudia wimbo wake wa Muziki mara nne kutokana na mashabiki kumtaka afanye hivyo, mpaka ikawa Too Much! Jamaa alifanikiwa kinomanoma kuzikonga nyoyo za mashabiki wake ambapo alikula shangwe za kufa mtu huku mashabiki wengine wakishindwa kuzizuia hisia zao. Ilibidi mabaunsa wafanye kazi ya ziada kudhibiti mizuka ya mashabiki hao. Ilikuwa poa sana!
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA