RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU UVCCM IKULU ZANZIBAR.



 Picha ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein pamoja  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein wa kwanza kushoto akizungumza na viongozi wa UVCCM pili kushoto  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka na wakwanza kulia ni  Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Abdulhafar Idrissa Juma  Ikulu mjini Zanzibar.



Picha ya pamoja ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wa kwanza kushoto pamoja na  Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Zanzibar Abdulhafar Idrissa Juma wa kwanza kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani Dkt Ali Mohammed Shein akiagana  na kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.