UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA MOHAMED JUMA PINDUZI MKANYAGENI PEMBA


Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli mpya ya Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,iitwayo Mohamed Juma Pindua, ikiwa ni shamara shamara za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.
Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Skuli Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamara shamara za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma, (kulia) Mama Mwanamwema Shein,
Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma pamoja na Viongozi mbali mbali walipotembelea chumba cha Kompyuta mara baada ya kuizindua Skuli Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,katika Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia Vitabu mbali mbali wakati alipotembelea madarasa mbali mbali na maabara baada kuizindua Skuli Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,katika Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma.
Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati walipowasili katika Ufunguzi wa Skuli Mpya ya sekondari ya Mohamed Juma Pindua huko Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo ikiwa ni shamara shamara za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa maelekezo kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma wakati alipotembelea madarasa mbali mbali na maabara baada kuizindua rasmi leo Skuli mpya ya Sekondari Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba,iliyopewa jina la Mohamed Juma Pindua, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) .
Wananchi na Wanafunzi wa Mkanyageni na Vijiji jirani Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Skuli Mpya ya Sekondari ya Mkanyageni,ilyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 35 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, 
Baadhi ya Wananchi na Wanafunzi wa Mkanyageni na Vijiji jirani Wilaya ya Mkoani Kusini Pemba wakimsikiliza Rais a Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni,ilyopewa jina la Mohamed Juma Pindua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 35 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 07Jan 2017.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA