VIDEO: Askofu Mokiwa afafanua mgogoro unaoendelea kwenye kanisa la Anglikana



Baada ya Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Jacob Chimeledya kumtaka Askofu mkuu Dayosisi ya Dar es salaam Valentino Mokiwa ajiuzulu kwa kile kilichodaiwa kuwa anatumia madaraka yake vibaya na ubadhirifu wa fedha.
Leo January 10 2017 Askofu Mokiwa amekutana na waandishi wa habari ili kutoa ufafanuzi kuhusu mgogoro huo unaoendelea kwenye kanisa hilo ambapo amekanusha na kudai kuwa migogoro hiyo inapandikizwa. Unaweza kubonyeza play hapa chini


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA