4x4

VIDEO: Interview ya Samatta na BBC kuhusu rafiki yake kujiunga na Leicester City


Kiungo wa kimataifa wa Nigeria Wilfred Ndidi January 5 2017 alitambulishwa rasmi na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England Leicester CityNdidi mwenye umri wa miwaka 20 amejiunga na Leicester kwa uhamisho wa pound milioni 15 na kusaini mkataba wa miaka mitano na nusu.
screen-shot-2017-01-07-at-1-11-45-am
Kutoka kushoto ni NdidiSamatta na Omar Colley
Samatta na Ndidi walikuwa wote wakicheza pamoja katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji ila Ndidi amejiunga na Leicester baada ya kupata kibali chache cha kazi, Ndidianayetajwa kama mbadala wa Ng’olo Kante aliyejiunga na Chelsea inawezekana akacheza mchezo wa kesho wa FA dhidi ya Everton.
screen-shot-2017-01-07-at-1-20-41-am
Ndidi na Samatta walipokutana Nigeria kwa ajili ya mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Super Eagles

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3
Post a Comment