Wenger: Bao la Giroud miongoni mwa 5 bora



Bao la Giroud dhidi ya Crystal PalaceImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionBao la Giroud dhidi ya Crystal Palace
Bao la Olivier Giroud la 'scorpion ama nge' katika ushindi wa Arsenal wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace ni miongoni mwa mabao matano muhimu katika uongozi wa Arsene Wenger.
Mabao ya Thiery Henry na Dennis Bergkamp ni miongoni mwa mabao iyofurahia lakini akasema hili litakuwa 'bao la Giroud'.
Aliongezea: Si bao la kawaida lakini Giroud's alitoa kitu maalum.
Giroud amesema kuwa bao hilo alilifunga kwa bahati.
Uvamizi wa Arsenal katika ngome ya Crystal Palace ulimfanya Giroud kufunga bao hilo maridadi kutoka kwa krosi iliopigwa na Alexi Sanchez.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA