Ratiba ya 16 bora ya UEFA Europa League KRC Genk vs ? Man United vs ?

Baada ya kumalizika kwa hatua ya 32 bora ya michuano ya UEFA Europa League, Ijumaa ya February 24 katika mji wa Stockholm Sweden ilichezeshwa droo ya kupanga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo, timu ya KRC Genk inayochezewa na Mbwana Samatta imepangwa kucheza na wapinzania wao KAA Gent.
KRC Genk imepangwa kucheza na KAA Genk zikiwa na timu zote zinazotoka Ubelgiji, hivyo ushindani wa game hiyo hautakuwa wa kawaida, Man United wao wamepangwa na FC Rostov ya Urusi.
Hii ndio ratiba ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League 2016/2017

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU