WEMA SEPETU 'AMEJIUNGA' CHADEMA

 Msanii wa Bongo Movie nchini,Wema Sepetu (katikati),Mbunge wa Bunda Mjini,Ester Bulaya (Chadema),Mama yake Wema Sepetu (kushoto), wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe (kulia) kusikiliza kesi ya kikatiba aliyofungua dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,Kamishina Simon Sirro katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salaam leo.





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*