ALICHOONGEA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUMUAPISHA DK. MWAKYEMBE KUCHUKUA NAFASI YA NAPE




Pia Leo anaapishwa katibu mkuu wa Ikulu ila kwa sasa wanaoapishwa ni mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao.
===========

Mawaziri Dkt Harisson Mwakyembe na Palamaganda Kabudi wameapa, 
======

Anaeongea kwa sasa ni Rais Magufuli na kuwapongeza wote walioteuliwa. Amewaambia wasitegemee mazuri sana kwa kazi huwa zina lawama hasa kwa Tanzania ambapo kuna grupu la watu wao siku zote ni kulalamika.

Amedai Mwakyembe mitandao ilisema asingekuja kuapishwa pia wapo walioposti kuwa Kinana angeongea leo ilhali yeye kamtuma India kwa matibabu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.