CHADEMA YAWATEUA MASHA, WENJE KUWANIA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI

 Lawrence Masha
Ezekiel Wenje
Kamati Kuu ya CHADEMA imewateuwa Ezekia Dibogo Wenje na Lawrence Kego Masha kuwa wagombea Ubunge Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Masha ni waziri wa zamani wa Mabo ya Ndani ya Nchi na Wenje alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela.

Bunge la EALA  litakuwa na wabunge tisa kutoka Tanzania, ambapo CCM itakuwa na wabunge 6 na upinzani wabunge 3.

Leo katika Ofisi za CCM Lumumba kulikuwa na mchakato wa udahili zaidi ya wanachama 350 ambapo kila mmoja altoa sh 100,000 za kuchukulia fomu za kuomba kuingia kwnye kinyang'anyiro hicho. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.