DK MWAKYEMBE ATINGA IDARA YA HABARI MAELEZO

 Waziri mpya wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akilakiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Zamaradi Kawawa alipowasili katika Idara hiyo mara baada ya kutoka kuapishwa na Rais John Magufuli Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari Leo, Abdallah na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba. PICHA ZOTE NA DALILA SHARIF
 Mwakyembe akiingia Idara ya Habari Maelezo
 Dk. Mwakyembe akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Maelezo na wizara hiyo.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA