MAKAMU MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA, BALILE AWAPONGEZA RAIS, MWAKYEMBE KUMUACHIA HURU NAY WA MITEGO

Nilikuwa na hofu, tulijuwa na hofu juu ya ujio wa Dk. Mwakyembe katika Wizara ya Habari.
Hata hivyo, kwa kauli aliyoitoa Dodoma Leo ya kumwachia Ney wa Mitego na kuruhusu wimbo wa WAPO uendelee kupigwa katika vituo vyote vya redio na ushauri wa Rais kwamba aongeze ujumbe mwingine kwa hoja na msingi kwamba ni UHURU WA KUTOA MAWAZO ninefarijika.
Nampongeza Mhe. Rais Magufuli, nampongeza Mhe. Mwakyembe kwa kusimamia upatikanajibwa Uhuru wa Kutoa Mawazo unaotolewa na Katiba. Kudos.
Balile

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA