MPANGO WA UKOMO WA WA KIWANGO CHA BAJETI WAWASILISHWA KWA WABUNGE


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoa maelezo ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa Mkutano wa uwasilishaji wa Mpango wa ukomo wa kiwango cha Bajeti uliofanyika leo katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia).
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (katikati) akiongoza  Mkutano wa uwasilishaji wa Mpango wa ukomo wa kiwango cha Bajeti kwa Waheshimiwa Wabunge uliofanyika leo katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.