Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akigombewa kusalimiwa na wapenzi wa soka alipokwenda kushuhudia mechi ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, na timu ya Taifa ya Botswana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. Mbwana Samatta anayechezea timu ya KRC Genk ya Ubelgiji alifunga mabao yote mawili ya Stars. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
NAPE AKISALIMIANA NA WAPENZI WA SOKA
NAPE AKISALIMIANA NA WAPENZI WA SOKA
Comments