PICHA 20: Kutoka katika uzinduzi wa Foundation ya Baby J

Muimbaji Baby J kutoka visiwani Zanzibar usiku wa March 18 2017 aliwaalika watu mbalimbali katika uzinduzi wa Foundation yake ambayo itakuwa inajishughulisha na kusaidia wanamuziki wa kike kwa upande wa Zanzibar, uzinduzi wa Foundation ya Baby J ameifanya wakati wa Birthday Party yake.
Baby J ambaye ni moja kati ya wasanii wa kike wenye majina makubwa hususani visiwani Zanzibar aliwaalikwa watu mbalimbali katika uzinduzi huo wakiwemo wasanii wenzake Dogo JanjaChege na mameneja Babu Tale na Mkubwa Fella.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.