Wasafi.com ya Diamond Platnumz yaanza kuvuka mipaka hii ni nchi nyingine itakayokuwa inatoa huduma hiyo
Kupitia mitandao ya kijamii Diamond Platnumz amethibitisha kuwa wameingia katika utaratibu wa wasanii na wadau wa muziki nchini Rwanda kufanya biashara ya muziki kupitia Wasafi Dot Com alipoa ambatanisha picha akiwa na muwakilishi wa kampuni itakayosimamia hilo nchin Rwanda.
“Mapema baada ya kukamilisha kikao na Makubaliano na kampuni itayokuwa tawi letu ama agent wa @wasafidotcom nchini RWANDA… Muda si Mwingi nitawatangazia Wasanii wote wa Rwanda ni namna gani mnaweza kuwa na Acount za kuuza nyimbo zenu @wasafidotcom” Alipost Diamond Platnumz.
Comments