BARCELONA NJE LIGI YA MABINGWA, JUVENTUS WATINGA NUSU FAINALI


Lionel Messi akionyesha masikitiko yake baada ya timu yake, Barcelona kutolewa katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana kufuatia kulazimishwa sare ya 0-0 na Juventus ya Italia katika mchezo wa marudiano. Juventus ilishinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita na sasa inatinga Nusu Fainali, ikiungana na Atletico Madrid, Real Madrid za Hispania na Monaco ya Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA