CUF WAKUTANA TENA LEO

 Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Mawasiliano ya Umma Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya akizungumza jijini Dar es Salaam , kuhusu tukio la kuvamiwa kwa kikao cha Chama hicho na kupigwa kwa baadhi ya waandishi hivi karibuni.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi CUF, Mneke Jaffar. (PICHA NA VENANCE NESTORY)
Mkurugenzi wa Habari na uenezi wa Mawasiliano ya Umma Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu tukio la kuvamiwa kwa kikao cha Chama hicho na kupigwa kwa baadhi ya waandishi hivi karibuni.Kushoto ni Mkurugenzi wa Wanawake CUF, Salma Massoud, Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi CUF, Mneke Jaffar na Mkurugenzi wa Ulinzi, Massoud Mhina. (PICHA NA VENANCE NESTORY)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA