4x4

RAIS WA KOREA KASKAZINI AMUAPISHA MWANAYE WA MIAKA 9 KUWA LUTENI WA JESHI

Rais Kim jong ..wa korea kaskazini amemuapisha mwanae wa kiume Kim lau jong un ll mwenye umri wa miaka 9 kua luten wa jeshi la nchi hiyo , yakiwa ni maandalizi ya kumuandaa kijeshi mtoto huyo ili badae awe mkuu wa majeshi ..
Ikumbukwe kua kabla ya kuapishwa Kim lau amepitia mafunzo ya kijeshi akiwa na umri wa miaka saba na kufaulu kua afisa wa jeshi .
Mtoto huyu hajasoma elimu yoyote zaidi ya elimu ya kijeshi ..na kuandika historia ya kua luten mwenye umri mdogo dunia nzima 
Post a Comment