Preview YouTube video Hatma Ya Ajira Walimu Wa Masomo Ya Sanaa
Preview YouTube video Swali Kuhusu Haki Za Wanawake Na Watoto Nchini
Preview YouTube video Swali La Mbunge Nape Nnauye
Preview YouTube video Faida Za Soko La Pamoja La SADC
Preview YouTube video Malipo Ya Fidia Ndugu Waliouawa Na Wanyama Pori Mbulu
Preview YouTube video Ujenzi Wa Kiwanda Cha Chai Njombe
Preview YouTube video Wabunge Wacharuka Uvamizi Wa Wavuvi Ziwa Victoria
Preview YouTube video Suala La Maji Safi Jimbo La Ukonga
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments