4x4

BAJETI YA WAZIRI MUHONGO YAAHIRISHWA BUNGENIHotuba ya Bajeti ya Nishati na Madini iliyotakiwa isomwe kesho, imeahirishwa na badala yake itasomwa Jumatatu. 
Kwa mujibu wa mabadiliko ya ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Bunge jana, badala ya bajeti ya Nishati na Madini kusomwa kesho, itasomwa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi.
Post a Comment