DC MTATURU AMJULIA HALI MZEE CHOYO AMBAYE NI MLEMAVU WA VIUNGO




Mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu(katikati) na viongozi wa Kijiji cha Italala na  wa Kata ya Sepuka wakiwa na mzee mwenye ulemavu Idd Choyo walipomtembelea nyumbani kwake,



Lengo la kumtembelea ni kujua maendeleo yake toka alipojengewa nyumba ya kuishi na serikali mwaka 2006 na kutekeleza ombi alilowahi kutoa mzee huyo la kujengewa choo na jiko ambapo DC Mtaturu ameahidi kumpatia mabati,mbao na gharama za fundi kwa ajili ya kupaua huku Kata na kijiji wakiahidi kusaidia matofali na kuchimba shimo la choo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI