FRANCESCO TOTTI BAADA YA KUITUMIKIA ROMA MIAKA 25 ATUNDIKA DALUGA RASMI



Wachezaji wa Roma wakiwa wamemrusha juu mkongwe na gwiji, Francesco Totti jana mchana baada ya mechi ya Seria A dhidi ya Genoa, maalum kumuaga mchezaji huyo kufuatia kuitumikia klabu hiyo tangu mwaka 1992. Totti anastaafu baada ya kuichezea Milan mechi 785 na kuifungia mabai 307, huku akishinda nayo taji moja la Serie A msimu wa 2000-01, mawili ya Kombe la Italia misimu ya 2006-07 na 2007-08 na mawili ya Super Cup ya Italia mwaka 2001 na 2007. Gwiji huyo pia ameichezea timu ya taifa ya Italia mechi 58 na kuifungia mabao tisa kuanzia mwaka 1998 hadi 2006

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.