4x4

Habari mpasukoo Coaster yapata ajali yaua wanafunzi Arusha

Wananchi wakiangalia ajali ya Coaster iliyobeba wananfunzi wa iliyoporomoka korongoni  eneo la Mlima Rhotia wilayani Karatu Arusha wakati wakielekea kwenye ziara ya kimasomo.ambapo zaidi 30 walikufa kwenye ajali hiyo wakiwemo pia walimu Wanafunzi hao walikuwa wanatoka Shule Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schoolsPost a Comment